Kadefu Sio jina Geni katika Huu Mziki wa Bongoflava kutoka na Jitihada zake za kusapoti Mziki huu hasa kupitia wasanii wa Bongo flava .Lakini pia umaarufu wake ameupata zaidi kutoka na shughuli ya biashara zake anazo zifanya Tangu yuko Mwanza.Ikiwa Hivi sasa ametua katika Jiji la Dar es salaam Kuhakikisha Kupitia Sanaa ya Wasanii wake atafanya vizuri Biashara zake.
Wanamuita Big Boss Kadefu
Hivi karibuni ameweka wazi kuwa yupo katika maandalizi ya kufungua kampuni yake binafsi ambayo Inaitwa Kadefu Entertainment ambayo itahusika na kusimamia wasanii na kuandaa matamasha mbali mbali.Huku Hivi sasa akijivunia msanii anayemsimamia anaitwa Y jay anayefanya vizuri katika mziki na ngoma yake ya show love.
Pia ameweka wazi Mipango yake ya kufungua Biashara kubwa itakayomuweka karibu na wadau wake au itakayomfanya awahudumie wadau wa msanii wake nje ya mziki kwa kupata bidhaa bora na kwa bei nafuu.
Aidha amesema kuhusu taarifa za Za Kampuni yake utazipata kupitia mitandao ya kijamii huku akisema hapa kazi tu.
Home / Uncategories / Mfahamu Kadefu Christopher, Njiani Kufungua kampuni Kadefuu Entertainment,Y Jay Aipaisha kampuni hii.
Blogger Comment
Facebook Comment