Msanii JotoYaDaressalaam Ni Moto wa Kuotea Mbali awatikisa wasanii wengi wa mziki wa Bendi hapa Nchini



JotoYaDaressalaam sio jina geni kwa wafuatiliaji wa muziki wa bendi Tanzania,Amepata umaarufu mkubwa kupitia style ya uchezaji na sauti yake nzuri ambayo inampelekea kujizolea wadau wengi kila kukicha
 Msanii JotoYaDaressalaam aliyevaa kofia Kushoto akiwa na Msanii Mwingine Studio 
 Naamni utakuwa unaupata wimbo wa Starehe ni wimbo uliomuweka kwenye chati za juu na wengi kujua uwezo wa pekee aliokuwa Mwanamuziki  Huyu .Kwa sasa  hapa namzungumzia msanii ambaye anaitwa JOTOYADARESSALAAM  Ni masanii anayeishi  nchini Marekani  Ambako shughuli zake za kimuziki  anafanyia huko.JOTOYADARESSALAAM amefanya kazi na wasanii wakubwa na ma Derector Hapa Tanzania na  nchini marekani .JOTO Hivi karibuni  amejipanga kuja na Ujio mpya kwa mashabiki zake ila kwa Tarifa za Maisha na Kazi zake anapatikana instagram kama @jotoyadaressalaam Facebook @jotoyadaressalaam. supalady
 Watanzania wapenda mziki wa bendi wamupokea vizuri Msanii Huyo 
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment